Muziki wa dansi (au dansi tu) ni muziki kutoka nchini Tanzania. Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930, na unapendeka leo hadi leo hii.
Asili ya muziki wa dansi ni gani?
Ground Truth Answers: Ulianzishwa katika mji wa Dar es Salaam kunako miaka ya 1930Dar es Salaam
Prediction:
Muziki wa dansi unatokana na muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia.
Asili ya muziki wa dansi ni gani?
Ground Truth Answers: unatokana na muziki wa soukous kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (au "rumba ya kikongo") na tokea hapo ikawa inaitwa "rumba ya Tanzania" pia
Prediction: